UTANGULIZI.
Taarifa hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili;
- Taarifa ya utekelezaji idara ya fedha
- Taarifa ya Mapato na Matumizi ya robo ya kwanza Mwaka wa fedha 2025/2026.
- Orodha ya wadaiwa wa pembejeo M
- waka wa fedha 2024/2025.
- Orodha ya wadaiwa wa fedha ya usimamizi wa pembejeo msimu 2023/2024.
- Taarifa ya masalio yafedha za kibenki kuishia tarehe 30 June 2025.
- Wadaiwa wa CEAMCU Ltd.
- Kupitishwa kwa Ukomo wa Madeni.
- Malipo ya ruzuku kwa wakulima kwa mwaka wa fedha 2023/2024.
- Taarifa ya Mipango na Ajira.
- Ombi la kulipa madai ya watumishi.
- Kumaliza muda wa matazamio kwa mhasibu mkuu.
- Kupata vijana wa muda wa kujitolea katika idara ya Afisa Tehama na Muhudumu.
- Ombi la kununua Pikipiki 1 kwa ajili ya shughuli za chama.
- TARIFA YA MAPATO NA MATUMIZI ROBO YA KWANZA KUANZIA TAREHE 01/04/2025 HADI 30/03/2025
Katika kipindi hiki cha mwaka wa fedha 2025/2026 CEAMCU Ltd ilikisia kupata jumla ya TSZ ……………………. Na kufanya matumizi jumla ya TZS…………………. kwa makisio ya kawaida.
Hali halisi ya mapato yaliyokusanywa kwa kipindi cha Mwaka wa fedha 2025/2026 (April 2025 – Juni 2025) ni TZS………………………. Na matumizi ni TZS………………………….. sawa na asilimia ……………… ya makisio ya kawaida. Kwa upande wa makisio ya maendeleo mapato yaliyokusanywa ni TZS 0 sawa na asilimi 0 na matumizi yaliyotumika ni TZS 0 sawa na asilimia 0 ya makisio ya maendeleo.
- ORODHA YA WADAI PEMBEJEO MWAKA WA FEDHA 2024/2025.
| Na. | JINA LA CHAMA | JUMLA YA DENI (USD) | JUMLA YA MALIPO (USD) | KIASI CHA DENI BAKI |
- ORODHA YA WADAIWA WA FEDHA YA USIMAMIZI WA PEMBEJEO MSIMU 2023/2024.
Orodha ya wadaiwa wa Amcos fedha za usimamizi wa pembejeo msimu 2023/2024.
| Na | Jina la Chama | Deni la fedha la Usimamizi wa Pembejeo (USD) |
- TAARIFA YA MASALIO YA FEDHA KIBENKI
| MASALIO YA FEDHA BENKI KUISHIA TAREHE 31.06.2025 | ||||
| Na. | JINA LA BENKI | AINA YA FEDHA | AKAUNTI NAMBA | KIASI |
- WADAI WA CEAMCU Ltd
| Na. | ORODHA YA WADAI WA CEAMCU LTD | |
- KUPITISHWA KWA UKOMO WA MADENI
CEAMCU Ltd katika mkutano wake mkuu uliofanyika tarehe 30 April 2025 iliomba kupitishiwa makisio ya TZS…………………………….. na mkutano mkuu. Na baadaye yalipelekwa kwa Mrajis wa Vyama vya Ushirika kwa ajili ya kuidhinishwa. Mrajis aliidhinisha kama ifuatavyo:-
| Na. | Maelezo | Makisio yaliyopitishwa na mkutano mkuu uliofanyika tarehe 30 April 2024 | Maelezo | Makisio yaliyoidhinishwa na Mrajis wa vyama vya Ushirika msimu 2025/2026 |
| 1. | Mapato | 716,342,506.00 | Mapato | 654,542506.00 |
| 2. | Matumizi ya Kawaida | 743,192,506.00 | Matumizi ya Kawaida | 681,392,506.00 |
| 3. | Gharama za Uendeshaji na Utawala | 340,499,213.13 | Gharama za Uendeshaji na Utawala | 301,499,213.13 |
| 4. | Gharama za Kibiashara | 70,200,000.00 | Gharama za Kibiashara | 70,200,000 |
| 5. | Matumizi ya Maendeleo | 147,405,505.01 | Matumizi ya Maendeleo | 147,405,505.01 |
| JUMLA | JUMLA |
- MALIPO YA RUZUKU KWA WAKULIMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.
- KUWASILISHA TAARIFA YA HESABU YA MWAKA WA 2024/2025
Mchanganuo wa taarifa ya hesabu yam waka 2024/2025 imeambatanishwa katika mchanganuo wa majedwali.
- VYAMA VINAVYODAIWA FEDHA ZA MBEGU ZA MAHINDI.
| S/N | JINA LA CHAMA | IDADI YA MIFUKO ANAYODAIWA | KIASI ANACHODAIWA |
| 1. | SASILO AMCOS | 4 | 56,000.00 |
| 2. | KASANII AMCOS | 17 | 250,000.00 |
4.1. WADAIWA WA FEDHA ZA LC ZA MSIMU 2023/2024
Ndugu wajumbe vyama vya msingi vilivyo chini ya benki ya CRDB vinatakiwa kulipa fedha ya LC kwenye akaunti ya chama kikuu kwaajili ya kuendeshea mikopo yao yote lakini mpaka sasa vyama vifuatavyo bado havijalipa fedha hiyo ya LC
| S/N | AMCOS | KIASI USD |
| 1. | KALANGALI | 392.92 |
| 2. | MITUNDU | 869.17 |
| 3. | MGANDU | 602.14 |
| 4. | ITAGATA | 335.13 |
| 5. | MSEMEMBO | 171.42 |
| JUMLA | 2,370.78 |
4.2 WADAIWA WA FEDHA ZA USIMAMIZI WA PEMBEJEO ZA MSIMU 2023/2024.
| S/N | AMCOS | KIASI USD |
| 1. | KALANGALI | 249.47 |
| 2. | MITUNDU | 603.62 |
| 3. | ITAGATA | 314.94 |
| JUMLA | 1,168.03 |
- MALIPO YA HUDUMA YA SANDUKU LA POSTA
Ndugu wajumbe tunatakiwa kulipia kiasi cha Tsh. 200,000/= kwa ajili ya kutuma na kupokea taarifa za chama kwa njia ya posta ikiwa ni kama ada ya uendeshaji wa huduma hiyo katika shirika la Posta Tanzania. Kwani deni hili ni la muda mrefu sana hivyo shirika la posta la Taifa (Tanzania Postal) liliandika barua kukumbushia madeni deni hilo la nyuma.
- KUPITISHWA KWA UKOMO WA MADENI
Mwenyekiti alieleza umuhimu wa kuweka ukomo wa madeni ili kuzuia kuweka chama kwenye matatizo ya kifedha. Baada ya majadiliano, kamati ilikubaliana na kupitisha ukomo wa madeni wa jumla kiasi cha USD 3,219,835.78 Kwa ajili ya msimu 2025-2026 ukomo huu utasaidia kudhibiti mikopo na matumizi yasiokuwa ya lazima, mchanganuo wa ukomo huo wa madeni ni kama ifuatavyo inavyoonesha katika jedwali hapo chini.
| S/N | JINA LACHAMA | KIASI CHA USD |
| 1. | UMOJA AMCOS | 695,207.56 |
| 2. | MTAKUJA AMCOS | 586,200.82 |
| 3. | MANYANYA AMCOS | 750,895.46 |
| 4. | MAKALE AMCOS | 312,315.71 |
| 5. | MWAMAGEMBE AMCOS | 243,352.37 |
| 6. | ISINGIWE AMCOS | 374,257.30 |
| 7. | MBWEKOO ECO LEAF AMCOS | 257,606.56 |
| 8. | KINYIKA AMCOS | 66,259.94 |
| 9. | STESHENI AMCOS | 58,367.67 |
| 10. | NYALUMONO AMCOS | 166,741.34 |
| JUMLA | 3,219,835.78 |
- KESI YA CEAMCU LTD NA MUSSA SHABANI MSABAHA
Kumekuwa na kesi ya muda mrefu kati ya Mussa Msabaha na CEAMCU LTD na katika mashauri yote yaliyofunguliwa chama kikuu CEAMCU LTD kimeshinda dhidi ya mashauri ya Mussa Shabani na mahakama ilitoa hukumu ya kuuza mali za bw Mussa shabani Msabaha ikiwa ni pamoja na Nyumba,na mashamba hivyo taratibu za kufanyika kwa mnada huo zinafanyika ili kuweza kurejesha gharama zote za CEAMCU LTD
- OMBI LA KUNUNUA PIKI PIKI KWA AJILI YA KURAHISISHA SHUGHULI ZA CHAMA
Pendekezo la kununua pikipiki moja kwa ajili ya kurahisisha shughuli za chama hususani katika kufuatilia miradi ya kukusanya mapato vijijini na mjini, ndugu wajumbe tunaomba ombi hili la kununua piki piki moja mlipokee kwani itarahisisha na kuongeza ufanisi wa utendaji pia itapunguza baadhi ya gharama za uendeshaji wa shughuli za chama.
- KUPATA VIJANA WA KUJITOLEA KWA NAFASI YA MHUDUMU NA AFISA TEHAMA
Katibu alitoa hoja ya kupata vijana wa kujitolea kujaza nafasi ya mhudumu na afisa Tehama alieleza kuwa hatua hii itapunguza gharama za uendeshaji na kutoa fursa kwa vijana kupata uzoefu na kurahisisha utendaji wa shughuli mbali mbali pia itaboresha Zaidi upatikanaji wa taarifa za chama katika mifumo ya kisasa mfano. Kujaza taarifa za msingi za chama katika mfumo wa MUVU kwa chama kikuu na vyama vya msingi.
- KUMTHIBITISHA MHASIBU
Ndugu wajumbe baada ya kupitia wasifu na uzoefu wa mhasibu mteule, baada ya majadiliano kamati iliridhika na sifa zake na kumthibitisha rasmi kuanza kazi. Mhasibu aliahidi kushirikiana na wajumbe wote katika kusimamia fedha za chama kikuu CEAMCU LTD kwa ufanisi na uwazi.
